semina ya mpango wa kukarabati reli ya kati itakayowasaidia wajasilia mali wa Tanzania, Kongo, Burundi na Rwanda
Meneja mahusiano wa Shirika la Reli Tanzania Midladjy Maez akiongea na washiriki wa
semina ya mpango wa kukarabati reli ya kati itakayowasaidia wajisiria mali wa
Tanzania, Kongo, Burundi na Rwanda leo jijini Dar es Salaam, mpango huo ni
muendelezo wa jitihada ya kuboresha miundo mbinu ya reli ya kati.
Baadhi ya waandishi wa habari na washiriki
wa mkutano wa Shirika la Reli Tanzania wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi ( hayupo pichani),wakati
wa semina ya mpango wa kukarabati na kuboresha reli ya kati ili kuimarisha
uchumi wa nchi leo jijini Dare s salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, ambaye
alikuwa mgeni rasmi Shaabani Mwinjaka, akiongea na washiriki wa semina ya
mpango wa kuimarisha usafiri wa reli ya kati kwa ajili ya kusaidia usafiri kwa
wajasiria mali,leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina ya mpango wa
kuimarisha usafiri wa reli ya kati kwa ajili ya kusaidia usafiri kwa wajasiria
mali wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi (hayumo pichani) leo jijini Dar es
salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, ambaye
alikuwa mgeni rasmi Shaabani Mwinjaka, (mstari wa mbele wa nne kutoka kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa semina ya mpango wa kuimarisha usafiri
wa reli ya kati,leo jijini Dar es salaam. (Picha na lorietha Laurence-maelezo)