Mh. Lowassa aongoza Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT,Kijitonyama jijini Dar,Zaidi ya Sh. Mil 600 zapatikana
Mh. Lowassa aongoza Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT,Kijitonyama jijini Dar,Zaidi ya Sh. Mil 600 zapatikana
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa
hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi
kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya
Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.

Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akimuunga Mkono Mgeni
Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa
Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika
leo Novemba 10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
Mbunge
wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Idd Azzan akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika
Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya
Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika leo Novemba
10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika
harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.
Mwenyekiti
wa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya
Awali katika kanisa KKKT Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es
Salaam,Mzee Kamugisha akifanya mnada wa Picha ya Jengo la Shule hiyo ya
awali,Wakati wa Harambee iliyofanyika leo kwenye Kanisa la
KKKT,Kijiyonyama jijini Dar leo.
Mchungaji wa Kanisa hilo akinungumza machache.
Kwanya ilitumbuiza wakati wa Harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiangalia kitu kupitia simu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh.
Makongoro Mahanga.Kushoto ni Bw. Sadock Magay.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa na
Wajuu zake,Angelica (kulia) na Edward mara baada ya Ibada katika Kanisa
hilo la KKKT,Kijitonyama leo.
Harambee ikiendelea.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akimkabidhi Muigizaji wa Filamu Nchini,Jacqueline Wolper moja ya bidhaa
zilizokuwa zikinadiwa kwenye Harambee ya Uchangiaji wa Fedha kwa ajili
ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika Kanisa la KKKT Usharika wa
Kijitonyama,Jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana
katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.