Header Ads

Maji ya ziwa yabadilika rangi Australia



Ni kawaida kujua rangi ya maji katika bahari, maziwa na mito na huenda ukashangaa sana kusikia kuna ziwa limekuwa na maji ya rangi tofauti na unayoijua. Kutokea nchini Australia nimeipata hii ya  maji ya ziwa yalivyobadilika rangi na kuwa rangi ya pink.

Imeripotiwa kuwa rangi ya maji ya ziwa la Victoria Parks ambalo lina sifa ya kuwa na chumvi imebadilika kutokana na hali ya hewa ya joto, mwanga mkali wa jua, uhaba wa mvua na kiwango kikubwa cha chumvi.





Powered by Blogger.