Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi (kushoto) akibadilishana mawazo na mwenyeji wake Waziri
wa Mambo ya Ndani wa nchini Zambia, Edgar Lungu, ofisini kwake jijini
Lusaka nchini Zambia. Waziri Nchimbi yupo nchini humo kwa ziara ya
kikazi ambapo katika majadiliano yao wamekubaliana kuimarisha
ushirikiano kati ya nchi hizo kwa kuboresha huduma katika Jeshi la
Polisi, Magereza, Uhamiaji na Idara ya Wakimbizi ili yaweze kutoa huduma
nzuri zaidi kwa wananchi.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia,
Grace Mujuma (kushoto) akifuatilia kwa makini majadiliano kati ya Waziri
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia) na Waziri wa
Mambo ya Ndani wa nchini Zambia, Edgar Lungu (hayupo pichani).
Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Lungu, jijini Lusaka
nchini Zambia. Waziri Nchimbi yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi
ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kati ya wizara hizo kwa
kuboresha huduma katika Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Idara ya
Wakimbizi ili yaweze kutoa huduma nzuri zaidi kwa wananchi. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimsikilza kwa makini mwenyeji wake Waziri
wa Mambo ya Ndani wa nchini Zambia, Edgar Lungu, ofisni kwake jijini
Lusaka nchini Zambia wakati walipokuwa wanajadiliana masuala mbalimbali
yaliyopo ndani ya wizara zao. Waziri Nchimbi yupo nchini humo kwa ziara
ya kikazi ambapo wamekubaliana na Waziri Lungu kuimarisha ushirikiano
kati ya nchi hizo kwa kuboresha huduma katika Jeshi la Polisi, Magereza,
Uhamiaji na Idara ya Wakimbizi ili yaweze kutoa huduma nzuri zaidi kwa
wananchi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.(P.T)
WAZIRI NCHIMBI ATUA NCHINI ZAMBIA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Reviewed by
Unknown
on
1:00 AM
Rating:
5