DIAMOND ABEBA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME EAST AFRICA NA KUPEWA CERTIFICATE YA PLATNUMZ
Baadaya Diamond Platnumz kushinda Certificate of Archievement kwa level ya Platnumz ameweza Kuwashukuru fans zake waliofanikisha kupatikana Tuzo hiyo kwa Kumpigia kura.
DIAMONDI ASEMA
"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa
Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha
kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East
Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!