Msichana aliyepigwa na mtoto wa Obama atoa kauli ya kushangaza
Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa sana na tukio hilo kutokana na umaarufu wa Malia Obama.
Truskey ametweet sentensi kadhaa kuonesha furaha yake huku maelezo yakionesha kuwa haamini kilichotokea.
“I got (accidentally) kicked by Malia Obama today at Lollapalooza. No lie. Malia. Obama. It was awesome. #lollapalooza.”
Ni kweli msichana huyo ana sababu ya kufurahi kwa kuwa amekuwa maarufu pia kupitia tukio hilo.