KATIKA mkutano huo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitaingia makubaliano ya ushirikiano.
Kwa
kupitia makubaliano hayo vyama hivyo vinatarajia kusimamisha mgombe
mmoja mmoja katika nafasi zote za kuchaguliwa vikianzia na uchaguzi wa
serikali za mitaa wa mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu wa 2015.
|