RAIS KIKWETE AONGEA NA WATANZANIA WAISHIO POLAND
Mdau
akiangalia kitambulisho cha Taifa cha mmoja wa maofisa alioongozana nao
Rais Kikwete wakati alipokutana na Watanzania waishio Poland katika
hoteli ya Bristol jijini Warsaw usiku wa kuamkia leo. Wengi wa wadau
hawa walikuwa hawana habari kwamba vitambulisho vya Taifa vimeshaanza
kugawiwa kwa wananchi
Aliyewahi kuwa balozi wa Poland nchini Tanzania akijitambulisha
Mwalimu Anna Paciorek akiuliza swali
Padri akieleza jambo
Mmoja wa wadau akiuliza swali
Rais Kikwete akiongea na Watanzania hao
Hotuba na ufafanuzi wa mambo mbalimbali vinaendelea
Kila mmoja akimsikiliza Rais Kikwete kwa makini
Hotuba ikiendelea
Hapa ni kuhusu umuhimu wa ughaibuni kujenga nyumbani...
Mwalimu Anna PAciorek akisoma risala ya Watanzania wa Poland
Kaimu Balozi Mhe Christopher Mvula akifunua pazia la kikao hicho
Rais Kikwete akipokea risala toka kwa Mwalimu Anna Pacoirek
Wadau wakijitambulisha
Mama Salma Kikwete akiongea na familia ya Mdau Wambura
PICHA NA IKULU.