Header Ads

Gazeti la Mtanzania latinga tena mtaani,baada ya kutumikia kufungiwa kwa miezi mitatu


 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo (kushoto), akisoma nakala ya kwanza ya gazeti la Mtanzania baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa miezi mitatu na Serikali. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda. (Picha na John Dande)
Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda (kushoto) na  Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo wakisoma nakala ya kwanza ya gazeti la Mtanzania baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa na Serikali. 
 Askari wa Usalama Barabarani akisoma nakala ya gazeti la Mtanzania.
 Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda (kulia) akigawa nakala ya gazeti la Mtanzania kwa wasomaji wake.
 Kibanda akimpa nakala ya gazeti kwa wadau wa gazeti la Mtanzania.
 Tumerudi kwa kishindo.
 Wafanyakazi wa New habari wakiwa na nakala za gazeti la Mtanzania.
 Tumekuja kuwashika.....!!!!!!!









 (Picha na John Dan
Powered by Blogger.