Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Katibu Mtendaji
wa SADC, Dkt. Stagomena Tax, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na
Katibu Mtendaji wa DADC, Dkt. Stagomena Tax, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo leo, Dec 2, 2013. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na
Katibu Mtendaji wa DADC, Dkt. Stagomena Tax, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo leo, Dec 2, 2013.
Kushoto ni Ofisa Mawasiliano, Charles Mubita. Picha na OMR(P.T)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC DKT. STAGOMENA TAX IKULU DAR ES SALAAM LEO
Reviewed by
Unknown
on
11:19 PM
Rating:
5