Header Ads

CHAN 2014: WENYEJI SOUTH AFRICA NJE, NIGERIA, MALI ROBO FAINALI!

>>JUMATATU MWISHO KUNDI B: UGANDA KUSONGA??

CHAN2014_LOGOWENYEJI wa CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, South africa leo wamechapwa Bao 3-1 na Nigeria Mjini Cape Town katika Mechi ya mwisho ya Kundi A na kutupwa nje.
Bao za Nigeria zilifungwa na Uzoenyi, Bao 2, na Penati ya Ede huku South Africa wakifunga kwa Penati ya Bernard Parker.
Katika Mechi nyingine ya Kundi A, Mali walitoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuichapa Mozambique Bao 2-1 kwa Bao za Sidibe na Traore na Mozambique kufunga kupitia Josemar.
Matokeo haya yamezifanya Mali, ambao ndio Washindi wa Kundi A, na Nigeria, ambao walianza kwa kufungwa na Mali, wasonge Robo Fainali na Wenyeji South Africa kutupwa nje.
Jumatatu Kundi B zitacheza Mechi zao za mwisho kwa Burkina Faso kupambana na Zimbabwe na Morocco kucheza na Uganda huku Timu zote, kimahesabu, zikiwa na Nafasi kuwa kwenye mbili zitakazotinga Robo Fainali ingawa kwa Uganda Sare tu ni bora kwao.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mali
3
2
1
0
5
3
2
7
2
Nigeria
3
2
0
1
8
6
2
6
3
South Africa
3
1
1
1
5
5
0
4
4
Mozambique
3
0
0
3
4
9
-5
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Uganda
2
1
1
0
2
1
1
4
2
Zimbabwe
2
0
2
0
0
0
0
2
2
Morocco
2
0
2
0
1
1
0
2
4
Burkina Faso
2
0
1
1
2
3
-1
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Libya
2
1
1
0
3
1
2
4
2
Ghana
2
1
1
0
2
1
1
4
3
Congo
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Ethiopia
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Burundi
2
1
1
0
3
2
1
4
2
Gabon
2
1
1
0
1
0
1
4
3
Congo DR
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Mauritania
2
0
0
2
2
4
-4
0
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
VIWANJA:
CAPE TOWN:
-Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/Bloemfontein
-Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Ijumaa, Kundi C litacheza Mechi zake mbili huko Mangaung, Bloemfontein Uwanjani Free State Stadium kwa Ghana kucheza na Libya na kufuatia Ethiopia v Congo.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 11
South Africa 3 Mozambique 1
Mali 2 Nigeria 1
Jumapili Januari 12
Zimbabwe 0 Morocco 0
Uganda 2 Burkina Faso 1
Jumatatu Januari 13
Ghana 1 Congo 0
Libya 2 Ethiopia 0
Jumanne Januari 14
Congo DR 1 Mauritania 0
Gabon 0 Burundi 0
Jumatano Januari 15
South Africa 1Mali 1
Nigeria 4 Mozambique 2
Alhamisi Januari 16
Zimbabwe 0 Uganda 0
Burkina Faso 1 Morocco 1
Ijumaa Januari 17
Ghana 1 Libya 1
Ethiopia 0 Congo 1
Jumamosi Januari 18
Congo DR 0 Gabon 1
Burundi 3 Mauritania 2
Jumapili Januari 19
Nigeria 3 South Africa 1
Mozambique 1 Mali 2
Jumatatu Januari 20
2000 Burkina Faso v Zimbabwe [Athlone Stadium]
2000 Morocco v Uganda [Cape Town Stadium]
Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Mshindi Kundi B v Nigeria [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mali v Wa Pili Kundi B [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Wa Pili Kundi C [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Mshindi Kundi C v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]
Powered by Blogger.