WAPENZI
wa muziki usiku wa kuamkia leo waliburudika kwa mapigo ya bendi ya
taarab ya Jahazi katika onyesho la nguvu la kwanza kwa mwaka 2014 ndani
ya uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini
Dar.
Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki waliofurika Dar Live.
Mzee Yusuf na wanenguaji wake kazini.
Umati wa mashabiki ukiserebuka.
Leila Mohamed akiwa kazini.
Shabiki akiserebuka.
Chidi Boy akikunguta kinanda.
Pozi la kinadada ndani ya Dar Live.(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
JAHAZI YATIKISA KWA MUZIKI MKALI WA TAARAB DAR LIVE
Reviewed by Unknown
on
12:01 PM
Rating: 5