LA LIGA: BARCA YATETEREKA, YABANWA NA TIMU WALIYOIPIGA 7-0!
>>ATLETICO KUTWAA UONGOZI LA LIGA??
Levante ndio walitangulia kupata Bao
katika Dakika ya 10 kwa Bao la Vyntra na Gerard Pique kuisawazishia
Barca katika Dakika ya 19.
Matokeo haya bado yameibakisha Barca
kileleni lakini ikiwa baadae Usiku huu Atletico Madrid wataifunga
Sevilla, Klabu hiyo ya Jijini Madrid watatwa uongozi na kuwa Pointi 2
mbele ya Barca na 3 mbele ya Real Madrid.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Levante: Keylor, Navas, Navarro, Vyntra, El Zhar, Ruben, Juanfran, Nikos, Lopez, Ivanschitz, Diop y Simao.
Barcelona: Valdes, Montoya, Pique, Mascherano, Alba, Xavi, Busquets, Fabregas, Pedro, Messi, Alexis.
LA LIGA:
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
FC Barcelona |
20 |
16 |
3 |
1 |
54 |
13 |
41 |
51 |
2 |
Real Madrid CF |
20 |
16 |
2 |
2 |
58 |
21 |
37 |
50 |
3 |
Atletico Madrid |
19 |
16 |
2 |
1 |
47 |
11 |
36 |
50 |
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Ijumaa Januari 17
Malaga CF 0 Valencia 0
Jumamosi Januari 18
Real Betis 0 Real Madrid 5
Elche CF 2 Rayo Vallecano 0
Granada CF 0 Osasuna 0
RCD Espanyol 1 Celta de Vigo 0
Jumapili Januari 19
Getafe CF 2 Real Sociedad 2
Villarreal CF 2 UD Almeria 0
Levante 1 FC Barcelona 1
23:00 Atletico de Madrid v Sevilla FC