LEMA APIGWA BUTWAA KALENGA....!
Mjumbe wa
kamati kuu chadema na mbunge wa Arusha mjini akiongea kwa masikitiko
makubwa jana katika mkutano wa hadhara jimbo la Kalenga katika kata ya
Maboga kijiji cha Kiponzelo akiona mtoto ambaye anaumri kama wa mwanae
akiwa katika hali hiyo huku ikiwa mbunge aliekuwepo alikua waziri wa
fedha, mtoto huyo hajui kitu kina itwa shule au darasa.(P.T)
Na kalumbimbi.blogspot.com