Header Ads

Aliyeua wazazi wake wote wawili kwa kuwacharanga mapanga na kuwachoma moto akamatwa na Polisi!

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, linamshikilia Yusufu Njau (32), mkazi wa kijiji cha Roo Wilayani Hai mkoani humo, kwa kosa la kuwauwa wazazi wake ‘kikatili’ kwa kuwakata na mapanga kichwani na kisha kuchoma moto nyumba waliyokuwa wanaishi wazazi hao.



Powered by Blogger.