Hii ni Kali ya Mwaka!!! FISI WAWILI WAKUTWA NA SHANGA NA ROZALI KIUNONI,WADAIWA KUMILIKIWA NA WANANZENGO
MSAKO
wa Fisi waliovamia makazi ya Vitongoji vitatu vya Kijiji cha Hungumalwa
Kata ya Hungumarwa wilayani Kwimba mkoani Mwanza, umezua maajabu.