Header Ads

INASIKITISHA!!TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII; KICHANGA CHATUPWA KATIKA KONTENA LA TAKA KARIBU NA OFISI YA MKUU WA WILAYA IRINGA


Mwili wa kichanga ukiwa katikati ya maboksi katika kontena la taka Iringa mjini


baadhi ya mashuhuda walioshuhudia tukio hilo




Kamandawa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi ameomba wadau wenye taarifa yoyoteinayohusiana na kichanga hicho waifikishe Polisi ili kufanikisha msako wamtuhumiwa wa tukio hilo.
Powered by Blogger.