MAJANGA: HATI ZA NYUMBA NA VIWANJA ZA EMMANUEL MBASHA ZAIBWA NA MTU ASIYEJULIKANA
Siku
chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka
shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha
amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja.
Kikizidi
kumwaga data, chanzo hicho kilisema katika vitu vilivyoibwa ni pamoja
na nyaraka mbalimbali zikiwemo hati za viwanja kadhaa vilivyopo Iringa,
kadi ya gari na vitu vingine vidogovidogo.
http:/themonthlyjob.com/?ref=16035