Zitto Kabwe Atabiri Timu zitakazoingia Fainali Kombe la Dunia
Mbunge wa Kigoma kaskazini, Mh Zitto Zuberi Kabwe ametoa utabiri wake
katika mashindano ya fainali za kombe la dunia yanayoendelea nchini
Brazil.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zittto Kabwe amerusha sarafu yake kwa mtiririko wa 16 bora, Robo na Nusu Fainali, na mwisho akawaweka katika dimba la fainali wenyeji Brazil na Argentina.
Hata hivyo, hakuweka wazi katika utabiri wake nani ataondoka kifua mbele kati ya Brazil na Argentina kwa mujibu wa ndoto yake.
Huu ndio utabiri wa Zitto Zuber Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini:
Top 16
Group A – Brazil, Mexico
Group B – Netherlands, Chile
Group C – Colombia, Ivory Coast
Group D – Costa Rica, Italy
Group E – France, Ecuador
Group F – Argentina, Nigeria
Group G – Germany, Ghana
Group H – Belgium, Algeria
(As predicted by Mwanazuoni except group G)
QUARTER FINAL
Brazil v Netherlands
Colombia v Ivory Coast
France v Argentina
Germany v Ghana
SEMIS FINAL
Ivory Coast v Brazil
Argentina v Germany
FINALArgentina v Brazil