Header Ads

POLISI: MBASHA JITOKEZE MWENYEWE,ATOWEKA NYUMBANI KWAKE NA simu yake haipo hewani kwa siku kadhaa sasa.

TAHADHARI! Wakati akiwa hajulikani alipo huku akishtakiwa kwa tuhuma ya ubakaji wa shemejiye, jeshi la polisi Bongo limemtaka mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha kujisalimisha mwenyewe.
Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha.
Powered by Blogger.