Header Ads

TUNAPENDA KUOMBA RADHI KWA PICHA HIZI:TAZAMA MGONJWA ALIYEOZA MAKALIO NA KUFUKUZWA HOSIPITALI YA BUGANDO!



Joseph Luhogola (38),mkazi wa Kitongoji cha Nyabugera,Kijiji cha Mganza Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita akiwa amelala nyumbani kwa mganga wa tiba za asili Paul Chasama ambaye ni mtaalamu wa tiba za jadi kwa  kuunga mifupa na kurudisha viungo vya mwili vilivyochengana ambaye ni mkazi wa Kitongoji cha Elimu,katika kijiji cha Nyankumbu Wilayani Geita amedai kuwa,kutokana na uzoefu kwenye kazi hiyo anao uhakika wa asilimia mia kwamba Luhogola atapona.





Aliyezimia kuona kidonda
Mganga  wa asili anayemtibu Luhogola






























































Powered by Blogger.