Header Ads

HAYA NDO MAPYA JUU YA UGOMVI WA WATANGAZAJI WA XXL WASIKILIZE HAPA WAKIELEZEA KILICHO TOKEA

dozen11
Siku ya Jumatano July 02 ulisikia ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wa kipindi cha XXL ambapo zilisikika kelele za watu kugombana na pia vitu kama chupa kuvunjika leo kupitia website ya mtangazaji wa clouds fm
imeandika kuhusu ukweli juu ya tukio lilotokea,leo July 04 wameeleza ukweli juu ya kilichotokea na kusema hii wamefanya kwa ajili ya kampeni ambayo Clouds Media Group wanaiendesha kwa sasa waliyoipa jina la Paza Sauti.
Kampeni hii ikiwa na malengo makuu ya kuhamasisha utoaji wa taarifa ambazo unaziona mtaani kwako kama haziko sawa kutoa taarifa hasa kwa vyombo vya dola ikiwemo Polisi ili kwa pamoja tuidumishe amani tuliyonayo Tanzania,Paza Sauti,Ukimya Hausaidii..
BOFYA HAPA KUSIKILIZA<div class="halfTop">
                    <div class="timeInsidePlayer leftTime" style="left: 0%; display: none;">00:00</div>
                    <div style="float: right;" class="timeInsidePlayer rightTime">02:19</div>
                </div>
Powered by Blogger.