HUYU NDIYE ATAKAYEFANYA MAPINDUZI YA GOSPEL TANZANIA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA
Eng. Carlos Mkundi ni
Msanii wa Gospel (Nyimbo za Injili) Nchini Tanzania na ameamua kuufanya
Muziki wa Injili kuwa na Ladha Tofauti na zile Tulizozoea.
Pata nafasi ya kutazama Video ya Wimbo
wake ambao unafanya Vizuri kwenye Vituo mbali Mabli vya Radio na
Televisheni Afrika Mashariki huku ukiwa una siku chache Tu Tangu Utoke.
Wimbo unakwenda kwa Jina la WEWE NI MUNGU na huu ni wimbo wake wa pili baada ya Nimetoka Mbali.
FANYA KUTUPIA JICHO LAKO HAPA CHINI.
http://www.youtube.com/watch?v=cQcVb0-YHHI