Header Ads

BALE 2, BENZEMA 2, RONALDO HETITRIKI, REAL YAPIGA 7!


THURSDAY, 31 OCTOBER 2013 02:25

PrintPDF
>>NI MIAKA 50 TANGU GOLI 10 ZITINGE BERNABEU KATIKA MECHI MOJA!
Cristiano Ronaldo alifunga Bao 3, Gareth Bale na Karim Benzema, Bao mbili kila mmoja wakatiRONALDO-FURAHA Real Madrod ilipoinyuka Sevilla Bao 7-3 katika Mechi ya La Liga Uwanjani Santiago Bernabeu.
++++++++++++++++
MAGOLI:
Real Madrid 4
-Bale Dakika ya 13 & 27
-Ronaldo 32 (Penati), 60 & 70
-Benzema 53 & 80
Sevilla 2
-Rakitic 38 (Penati) & 63
-Bacca 40
++++++++++++++++
Hii ni mara ya kwanza kwa karibu Miaka 50 kwa Goli 10 kufungwa katika Mechi ya La Liga Uwanjani Bernabeu.
Sevilla walicheza Robo Saa ya mwisho ya Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Kiungo wao Stephane M'Bia kuonyeshwa Kadi ya Njano ya Pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada ya kumshika Luka Modric.
La Liga bado inaongozwa na Mabingwa Watetezi Barcelona wenye Pointi 31, Atletico Madrid Pointi 27 na Real Pointi 25.
VIKOSI:
REAL MADRID:
25 López
17 Arbeloa
12 Marcelo
06 Khedira
02 Varane
04 Ramos Booked
11 Bale
24 Illarramendi
09 Benzema
23 Isco
07 Ronaldo
Akiba:
01 Casillas
03 Pepe
14 Alonso
15 Carvajal
19 Modric
21 Morata
22 Di María
SEVILLA:
13 Bastos Pimparel
05 Figueiras
32 Moreno Booked
03 Navarro Corbacho
06 Carriço
21 Pareja
17 Samperio Bustara
22 Mbia
09 Bacca
11 Rakitic
20 Machín Pérez
Akiba:
01 Varas Herrera
04 Torres Ruiz
10 Perotti
12 Iborra
18 Gameiro
19 Reyes
23 Andújar Moreno
Refa: José Antonio Teixeira Vitienes
Watazamaji: 70,000
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumanne Oktoba 29
Getafe CF 0 Athletic de Bilbao 1
22:00 RCD Espanyol v Malaga CF
Jumatano Oktoba 30
Celta de Vigo 0 FC Barcelona 3
Valencia 1 UD Almeria 2
Real Valladolid 2 Real Sociedad 2
Alhamisi Oktoba 31
Osasuna 3 Rayo Vallecano  1
Real Madrid CF 7 Sevilla FC 3
22:00 Villarreal CF v Getafe CF
22:00 Granada CF v Atletico de Madrid
Ijumaa Novemba 1
0:00   Athletic de Bilbao v Elche CF
0:00   Real Betis v Levante
23:00 FC Barcelona v RCD Espanyol
Jumamosi Novemba 2
18:00 Real Sociedad v Osasuna
20:00 UD Almeria v Real Valladolid
22:00 Rayo Vallecano v Real Madrid CF
Jumapili Novemba 3
0:00   Sevilla FC v Celta de Vigo
14:00 Getafe CF v Valencia
19:00 Atletico de Madrid v Athletic de Bilbao
21:00 Levante v Granada CF
23:00 Malaga CF v Real Betis
Jumanne Novemba 5
0:00   Elche CF v Villarreal CF
Powered by Blogger.