Rais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar
Mwakilishi
mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident
Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP)
2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu
jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa
utumishi kumalizika hapa nchini(picha na Freddy Maro).