RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amouralipomtembelea
kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada
ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amouralipomtembelea
kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada
ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi. PICHA NA IKULU