Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) Zanzibar
Wake wa viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Watoto wa Madrasa wakighani Qasda katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamo wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia) makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi,wakiwa katika Maulidi ya kuzaliwa
Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Mjini Unguja.
Wake wa viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Maulidi ya Homu
Sehemu ya wana Madrasa
Baadhi ya viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta jambo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi katika
Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika
viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamo wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia) makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi,wakiwa katika Maulidi ya kuzaliwa
Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya
Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) katika viwanja
vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja palipofanyika Maulid hayo.
Picha na Ikulu Zanzibar