Usiku
wa January 13 2014 huko Zurich ndio Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
amekabidhiwa tuzo yake ya Ballon d’Or kutoka FIFA ambapo zifuatazo ni
pichaz za matukio mbalimbali kwenye utoaji tuzo huo.
Hapa ndio wanasikilizia, Ronaldo, Messi na Ribery.
Ndio anaichukua
.
Ronaldo alikwenda na mwanae kupokea tuzo yake
.
Ronaldo akitokwa machozi baada ya kutangazwa mshind