MAKAMU WA RAIS DKT BILALA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 21 WA VYOMBO VYA HABARI NA UTANGAZAJI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SABA)
Baadhi
ya washiriki wa mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji
kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt
Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo Oktoba 21 2013
katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji
kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) katika ukumbi wa A I C C jijini
Arusha leo 21 Oktoba 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano
mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa
Afrika (SABA) baada ya kufungua mkutano huo leo 21 Oktoba 2013 katika
ukumbi wa A I C C Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mkurugenzi mkuu wa TCRA Profesa John Mkoma nje ya
ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya kufungua mkutano
mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa
Afrika (SABA) leo 21 Oktoba 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na wasanii wa ngoma ya kimasai waliokua wakitumbiza nje
ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya
kufungua mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi
za Kusini mwa Afrika (SABA) leo 21 Oktoba 2013.Picha na OMR