SPURS YAICHAPA VILLA 2-0 VILLA PARK!
Sunday, 20 October 2013 20:23
BAO
za Andros Townsend na Roberto Soldado zimewapa Tottenham ushindi wa Bao
2-0 walipocheza leo Mechi ya BPL, Ligi Kuu England huko Villa Park na
Aston Villa.
Ushindi huu umeifanya Tottenham ichupe
hadi Nafasi ya 5 kwenye Ligi lakini uliingia dosari baada ya Refa
Msaidizi kurushiwa mgongoni fataki mara tu baada ya Andros Townsend
kufunga Bao la kwanza katika Dakika ya 31.
Hata hivyo Refa huyo Msaidizi hakuumia na aliendelea na Mechi.
Bao la pili la Tottenhma lilifungwa kwenye Dakika ya 69 na Soldado.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Bacuna, Vlaar, Clark, Luna, El Ahmadi, Westwood, Delph, Weimann, Kozak, Agbonlahor
Akiba: Baker, Bennett, Steer, Herd, Sylla, Bowery, Tonev.
Spurs: Lloris, Walker, Dawson, Chiriches, Vertonghen, Paulinho, Sandro, Townsend, Holtby, Sigurdsson, Soldado
Akiba: Lennon, Defoe, Dembele, Friedel, Naughton, Eriksen, Lamela.
Refa: Phil Dowd.
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
[Saa za Bongo]
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham
++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
8 |
9 |
19 |
2 |
Chelsea |
8 |
9 |
17 |
3 |
Liverpool |
8 |
6 |
17 |
4 |
Man City |
8 |
11 |
16 |
5 |
Tottenham |
8 |
3 |
16 |
6 |
Southampton |
8 |
5 |
15 |
7 |
Everton |
8 |
2 |
15 |
8 |
Man Utd |
8 |
1 |
11 |
9 |
Hull |
8 |
-2 |
11 |
10 |
Newcastle |
8 |
-3 |
11 |
11 |
Swansea |
8 |
1 |
10 |
12 |
West Brom |
8 |
1 |
10 |
13 |
Aston Villa |
8 |
-1 |
10 |
14 |
West Ham |
8 |
0 |
8 |
15 |
Stoke |
8 |
-3 |
8 |
16 |
Cardiff |
8 |
-5 |
8 |
17 |
Fulham |
7 |
-4 |
7 |
18 |
Norwich |
8 |
-7 |
7 |
19 |
Crystal Palace |
7 |
-8 |
3 |
20 |
Sunderland |
8 |
-15 |
1 |
YANGA WALIMWAGA, WAONGOZA 3-0 SIMBA YAPATA SARE 3-3!!
Sunday, 20 October 2013 20:03
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, itabidi wajilaumu sana maana walishawaweka Simbapabaya
sana kwa kumudu kuongoza Bao 3-0 hadi Haftaimu leo hii Uwanja wa Taifa
Jijini Dar es Salaam lakini Simba waliibuka Kipindi cha Pili na
kusawazisha Bao zote na Mechi hii ya VPL, Ligi Kuu Vodacom kumalizika
kwa Sare ya Bao 3-3.
+++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Simba 3
- Betram Mombeki Dakika ya 54
-Joseph Owino 58
- Kaze Gilbert 85
Yanga 3
-Mrisho Ngassa Dakika ya 15
-Hamis Kiiza 36
-Hamisi Kiiza 45
+++++++++++++++++++++++
Ni wazi uamuzi wa Kocha wa Simba
Abdallah Kibaden kubadilisha Kikosi chake na kuwaingiza Said Ndemla na
William Lucian badala ya Haruna Chanongo na Abdulhalim Humud mwanzoni
mwa Kipindi cha Pili kuliwasaidia Simba kupata Sare hii.
VIKOSI:
Simba: Abbel Dhaira,
Nassor Masoud ‘Chollo’, Haruna Shamte, Gilbert Kaze, Joseph Owino, Jonas
Mkude, Haruna Chanongo [Said Ndemla], Abdulhalim Humud [William
Lucian], Betram Mombeki [Zahor Pazi], Amisi Tambwe, Ramadhani Singano.
Yanga: Ally Mustafa
‘Barthez’, Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub, Kevin Yondan,
Athumani Iddi ‘Chuji’, Mrisho Ngassa, Frank Domayo, Didier Kavumbangu,
Hamisi Kiiza [Simon Msuva], Niyonzima.