MISS ILALA 2013 ATEMBELEA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHAZILI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR
Miss Ilala 2013
Dorice Mollel akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Uhazili, Msimbazi
centre jijini Dar es Salaam alipotembelea kituo hicho jana na kupata
nafasi ya kubadilishana nao mawazo juu ya kupambana na kupunguza
umaskini katika jamii zao katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya
kupambana na umaskini duniani (International Day for the Eradication of
Poverty).
Miss Ilala 2013
Dorice Mollel akibadilishana mawazo na wanafunzi wa Chuo cha Uhazili,
Msimbazi centre jijini baada ya Miss huyo kuamua kuadhimisha siku ya
kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the
eradication of poverty) kama sehemu ya kazi za kujitolea kwa kufundisha
jamii na hasa wasichana mambo ya ujasiriamali na stadi za maisha.