Header Ads

MAN CITY YAIBAMIZA SPURS 6-0!


TY WAPIGA BAO LA KWANZA BAADA SEKUNDE 14 TU!
WAKICHEZA kwao Etihad kwenye Mechi ya Ligi Kuu England, Manchester City wamebaimizaMAN_CITY-VICHWA_CHINI_BAADA_KICHAPOTottenham Bao 6-0 na kujisogeza kileleni wakiwa Pointi 6 nyuma ya Vinara wa Ligi Arsenal.
Man City walipata Bao lao la kwanza Sekunde 14 tu tangu Mpira kuanza  kufuatia makosa ya Kipa wa Spurs Hugo Lloris ambae alipiga ovyo Mpira na kutua kwa Sergio Aguero aliepiga shuti ambalo aliliokoa na kutua kwa Jesus Navas aliepiga Mpira wa juu na kutinga wavuni.
Kisha shuti Alvaro Negredo likambabatiza Sandro na kutinga na kufuata Bao la 3 kupitia Aguero na kuifanya City iongoze 3-0 hadi Haftaimu.
+++++++++++++++++++++
MAGOLI:
-Gonzalez Jesus Navas Dakika ya 1 & 90
-Raniere Sandro 34 [Kajifunga mwenyewe]
-Sergio Aguero 41 & 50
-Alvaro Negredo 55
+++++++++++++++++++++
Kipindi cha Pili, Aguero akafunga tena na kufuata Bao za Negredo na Navas na kukamilisha kipondo cha 6-0.
VIKOSI:
Manchester City: Pantilimon; Zabaleta, Demichelis, Nastasic, Clichy; Navas, Fernandinho, Yaya Toure, Nasri; Negredo, Aguero.
Akiba: Hart, Lescott, Richards, Guidetti, Garcia, Milner, Dzeko.
Tottenham: Lloris; Walker, Dawson, Kaboul, Vertonghen; Paulinho, Sandro; Lennon, Holtby, Lamela; Soldado.
Akiba: Friedel, Chiriches, Dembele, Townsend, Sigurdsson, Adebayor, Defoe.
++++++++++++++++++++
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
++++++++++++++++++++
Jumapili 24 Novemba
Manchester City 6 Tottenham Hotspur 0
1900 Cardiff City v Manchester United
++++++++++++++++++++
Jumatatu 25 Novemba
2300 West Bromwich Albion v Aston Villa
++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
12
14
28
2
Liverpool
12
11
24
3
Chelsea
12
11
24
4
Man City
12
22
22
5
Southampton
12
8
22
6
Everton
12
4
21
7
Man Utd
11
5
20
8
Newcastle
12
0
20
9
Tottenham
12
-3
20
10
Swansea
12
1
15
11
West Brom
11
0
14
12
Aston Villa
11
-1
14
13
Hull
12
-6
14
14
Stoke
12
-2
13
15
Cardiff
11
-6
12
16
Norwich
12
-13
11
17
West Ham
12
-5
10
18
Fulham
12
-10
10
19
Crystal Palace
12
-14
7
20
Sunderland
12
-16
7
Powered by Blogger.