Header Ads

6-0 AVB ALIA NA SPURS YAKE, MOYES ASIKITISHWA KUBWAGA 2!!

AVB_ACHUCHUMAAWAKATI Andre Villas-Boas akikiri Tottenham wamepata kipondo kikubwa toka Manchester City cha 6-0 kwa sababu ya uchezaji wao mbovu, David Moyes amesikitishwa na Difensi ya Manchester United iliyoruhusu Bao la Dakika ya 90 na kuipa Cardiff City Sare ya Bao 2-2.
Huko Etihad hapo Jana, Tottenham ilitinga ikiwa na Rekodi bora kwenye Ligi Kuu England ya kutoruhusu Mabao mengi kupita yeyote lakini Jesus Navas na Sergio Aguero wa Man City walipiga Bao 2 kila mmoja, Sandro alijifunga mwenyewe na Negredo kufunga moja na kujikuta wakitandikwa Bao 6-0.
Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Jesus Navas baada Sekunde 14 tu toka Mechi iaanze na Villas-Boas amekiri: “Ulikuwa mwanzo mgumu. Ni wazi ukifungwa Bao Sekunde 14 tu, mipango yote inapotea pamoja na matayarisho yote uliyofanya. Kila kitu kilikwenda ovyo kwetu kutoka Difensi bora Nchini na kuruhusu Bao 6!”
Lakini pia Tottenham sasa wamecheza Mechi 3 za mwisho za Ligi Kuu England bila ya kufunga Bao lolote na ni Timu za mkiani tu, Crystal Palace na Sunderland, ndizo zilizofunga Bao chache zaidi yao.
Mechi zinazofuata kwa Tottenham ni Alhamisi kwenye EUROPA LIGI ambapo watacheza na Tromso ya Norway na kisha Jumapili Uwanjani kwao White Hart Lane dhidi ya Mabingwa Manchester United kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.
Nae Meneja wa Manchester United, David Moyes, amesikitishwa na Difensi yake iliyoruhusu Bao la Dakika ya 90 na kuipa Cardiff City Sare ya Bao 2-2.
Amesema: “Tulipoteza mwelekeo katika kujihami kwani tulijipanga Mpira ukapigwa kisha Refa akasimamisha na kurudia tena. Hilo lilimsaidia Whittingham kulenga vizuri mara ya pili na Bo-Kyung Kim kufunga!”
Vile vile, Moyes alizungumzia tukio la Wayne Rooney la kumpiga teke Jordon Mutch ambalo wengi walidai ni Kadi Nyekundu ingawa Refa alimpa Kadi ya Njano tu.
Lakini Moyes amesema kulikuwa hamna nia mbaya ila ni Wachezaji wawili waliogongana baada ya Mutch kukatiza mbele ya Rooney.
Hata hivyo, Moyes pia alidokeza kitendo cha Kiungo wa Cardiff Gary Medel anaetoka Chile kutoadhibiwa kwa kumpiga usoni Marouane Fellaini.
 
MABINGWA JUVE WAKALIA KITI SERIE A!

Sunday, 24 November 2013 22:13
Print PDF
>>LLORENTE, TEVEZ WATIKISA KAMBA!!
BAO 2 za Fernando Llorente na Carlos Alberto Tevez leo zimewapa Mabingwa wa Italy JuventusTEVEZ_IN_JUVEushindi wa Bao 2-0 katika Mechi ya Ligi Serie walipoichapa AS Livorno Calcio kwenye Stadio Armando Picchi na kukaa kileleni mwa Ligi hiyo.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
2
Juventus
13
11
1
1
28
10
18
34
1
AS Roma
12
10
2
0
26
3
23
32
3
SSC Napoli
13
9
1
3
24
12
12
28
4
Inter Milan
12
7
4
1
29
12
17
25
5
Fiorentina
13
7
3
3
24
15
9
24
6
Hellas Verona
13
7
1
5
22
20
2
22
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Juve sasa wanaongoza kwa kuwa na Pointi 34 kwa Mechi 13 na wanafuatia AS Roma wenye Pointi 32 kwa Mechi 12 na ambao watacheza Mechi yao ya mkononi wakiwa Nyumbani Jumatatu Usiku dhidi ya Cagliari.
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Novemba 23
Hellas Verona FC 0 AC Chievo Verona 1
AC Milan 1 Genoa CFC 1
SSC Napoli 0 Parma FC 1
Jumapili Novemba 24
Torino FC 4 Calcio Catania 1
Udinese Calcio 1 ACF Fiorentina 0
UC Sampdoria 1 SS Lazio 1
AS Livorno Calcio 0 Juventus FC 2
US Sassuolo Calcio 2 Atalanta BC 0
2245  Bologna FC v Inter Milan
Jumatatu Novemba 25
2245  AS Roma v Cagliari Calcio

Monday, 25 November 2013 09:18

Powered by Blogger.