RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUWA JIJINI LONDON WIKI ILIOPITA
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete |
| Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino |
![]() |
| Said Surur aksalimiana na Rais Kiwete pembeni yake ni Ndugu Ahmed Dibibi, Hussein Kova na Gonex |
| Ndugu Kapinga na Mohamed Upete wakisalimiana nakuagana na Rais Kikwete |
| Hussein Kova na Gonex wakisalimiana na kuagana na Rais Kikwete |
![]() |
| Rahma Lupatu akiwa katika pose na Rais Kikwete mud mchacehe kabla hajaondoka |
| Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. |



