Rasimu ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania mwaka 2013iliyokuwa ikiongozwa na mwekiti wa tume joseph s.warioba imeweza kueleza haki za wanawake kwa ajili ya kupata ujira sawa na mwanaume katika maswala ya kazi.
hata hivyo katika rasimu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ambayo itakwenda kujadiliwa na wajumbe wa kamati ya katiba ambao ni wabunge wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
wajumbe hao ambao ni wanawake mia moja na moja na wanaume mia moja kwa hiyo kwa wingi wa wanawake hao haki hiyo ya wanawake itaweza kupitishwa .
pia hapatoweza kuwa na ubanguzi katika maswala ya kazi kati ya wanaume na wanawake katka ungawaji wa majukumu ya kazi kwa kusema hizi ni kazi za wanawake na hizi ni za wanaume.
sanjari na hayo hata waandishi wa habari watakuwa na wajibu wa kuwaelimisha wanaume kuhusiana na haki za wanawake kupata ujira sawa na mwanaume katika kazi,endapo kipengele hichi kitapitishwa kwenye katiba hiyo mpya