KINANA ATIKISA RUJEWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi
Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika
wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Nape Nnauye akihutubia maelfu ya watu katika Uwanja wa shue la Msingi
Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi
na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani
Mbeya, Des 2, 2013.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akihutubia maelfu ya watu katika
Uwanja wa shue la Msingi Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika
wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.(P.T)
Maelfu
ya wananchi wakiishangilia CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika
Uwanja wa shuela Msingi Rujewa, wilayani Mbarali katika ziara ya Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Kinana akitazama ngoma ya jamii ya
wafugaji wa Kimasai kwenye mkutano wa hadhara, Rujewa,wilayani Mbarali,
akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya
Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013.
Vijana wa Kimasai wakitoa burudani
katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Des 2, 2013,katika Kata ya
Rujewa, wilatani Mbarali Mbeya
Mabinti wa Kimasai wakishangilia
katika mkutano wa hadhara wa CCM, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana, kwenye uwanja wa shule ya msingi Rujewa wilayani
Mbararli mkoani
Mbeya.
Mbeya.
Kinana akiwaaga wananchi baada ya kuwahutubia katika Uwanja wa shulke ya msingi Rujewa, wilayani Mbarali, Mbeya Des 2, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana akikagua eneo la mto unaosambaza maji kwa ajili ya mradi wa
kilimo cha umwagiliaji wa Mwendamtifu, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana
nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2,
2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Mradi huo
umeelezwa kuwa na mgogoromkubwa wa ardhi kati ya wananchi na mwekezaji
mmoja katika eneo hilo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (watatu kushoto) akiwasili kwenye
mkutanowa hadhara aliohutubia, kwenye Uwanja wa shule ya msingi Rujenwa,
akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya
Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013. Wengine kutoka kulia ni Katibu wa
NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu wa CCM mkoawa Mbaya Maganga
Sengerema, Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro na Katibu wa NEC Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akizindua tawila CCM Ihanga, kata ya Rujewa, akiwa katika ziara
ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na
kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani
Mbeya, Des 2, 2013. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey
Zambi na Watatu ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Rujewa, Widen Ndamu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana na msafara wake wakipokewa kwa shangwe na wananchi baada ya
kuwasili katika Kata ya Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana
nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2,
2013. Imetayarishwa na theNkoromo Blog.