Wakazi wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini wakiangalia ajaLi ya Basi la abiria la Urafiki T 594 ABM lililoanguka kijijini hapo jana likitokea Iringa kuelekea Dodoma. PICHA NA SAID NG'AMILO.