Header Ads

LIGI KUU ENGLAND: HETITRIKI HARZARD, CHELSEA KILELENI!

>>LIVERPOOL YAINYUKA ARSENAL 5-1!!
>>LEO NI SPURS v EVERTON, MAN UNITED v FULHAM!
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 8
Liverpool 5 Arsenal 1
Aston Villa 0 West Ham 2
Chelsea 3 Newcastle 0
Crystal Palace 3 West Brom 1
Norwich 0 Man City 0
Southampton 2 Stoke 2
Sunderland 0 Hull 2
Swansea 3 Cardiff 0
+++++++++++++++++++++++++++++
EDEN_HAZARDLIGI KUU ENGLAND Jana ilishuhudia Arsenal ikishindiliwa Bao 5-1 huko Anfield na Liverpool na kupokonywa uongozi wao uliochukuliwa na Chelsea iliyoipiga Newcastle Bao 3-0 kwa Hetitriki ya Eden Hazard huku wagombea wengine, Manchester City, wakitoka Sare ya 0-0 huko Carrow Road na Norwich City.
Kwenye Mechi iliyoanza mapema kabisa Siku ya Jumamosi huko Anfield, Liverpool walikuwa kwa Bao 4 mbele katika Dakika 20 za kwanza na kuongoza kwa Bao hizo hadi Mapumziko zilizofungwa na Martin Skrtel, Bao 2, Raheem Sterling na Daniel Sturridge.
Kipindi cha Pili, Raheem Stirling alifunga Bao lake la Pili na la 5 kwa Liverpool na mwishowe Arsenal walipata Bao lao pekee kwa Penati ya Mikel Arteta na Mechi kwisha kwa kipondo cha 5-1.
Nae Eden Hazrd aliipa Chelsea Bao 3 Uwanjani Stamford Bridge walipoitandika Newcastle Bao 3-0 na kutwaa uongozi wa Ligi wakiwa Pointi 1 mbele ya Arsenal na Pointi 2 mbele ya Man City.
Ligi hii inaendelea Leo kwa Mechi mbili.
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumapili Februari 9
1630 Tottenham v Everton
1900 Man United v Fulham
+++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
PTS
GD
1
Chelsea FC
25
17
5
3
47
20
27
56
2
Arsenal FC
25
17
4
4
48
26
22
55
3
Man City
25
17
3
5
68
27
41
54
4
Liverpool
25
15
5
5
63
30
33
50
5
Everton FC
24
12
9
3
37
25
12
45
6
Tottenham
24
13
5
6
31
32
-1
44
7
Man United
24
12
4
8
39
29
10
40
8
Newcastle
25
11
4
10
32
34
-2
37
9
Southampton
25
9
9
7
36
29
7
36
10
Swansea
25
7
6
12
32
35
-3
27
11
Hull City
25
7
6
12
25
30
-5
27
12
Aston Villa
25
7
6
12
27
36
-9
27
13
Stoke City
25
6
8
11
26
40
-14
26
14
Crystal Palace25
8
2
15
18
34
-16
26

15
West Ham
25
6
7
12
26
33
-7
25
16
Norwich City
25
6
7
12
19
37
-18
25
17
Sunderland
25
6
6
13
25
38
-13
24
18
West Brom
25
4
11
10
29
37
-8
23
19
Cardiff City
25
5
6
14
19
44
-25
21
20
Fulham FC
24
6
1
17
22
53
-31
19
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumanne Februari 11
2245 Cardiff v Aston Villa
2245 Hull v Southampton
2245 West Ham v Norwich
2300 West Brom v Chelsea
Jumatano Februari 12
2245 Arsenal v Man United
2245 Everton v Crystal Palace
2245 Man City v Sunderland
2245 Newcastle v Tottenham
2245 Stoke v Swansea
2300 Fulham v Liverpool 
Powered by Blogger.