LA LIGA: REAL YATWAA UONGOZI, ATLETICO YAFUNGWA!
>>BARCA KURUDI KILELENI LEO UGENINI NA SEVILLA??
JANA kwenye La Liga huko Spain, Real Madrid wametwaa uongozi wa Ligi hiyo baada ya kuichapa Villareal Bao 4-2 na waliokuwa Vinara, Atletico Madrid, kufungwa Bao 2-0 na Almeria.
Bao za Real, waliocheza bila ya Staa wao
Cristiano Ronaldo ambae ameanza Adhabu ya Kifungo cha Mechi 3,
zilifungwa na Karim Benzema, Bao 2, Gareth Bale na Jese Rodriguez.
Hiyo Jana, Atletico walipigwa Bao 2-0 na
Almeria kwa Bao mbili za Verza moja ikiwa Penati iliyosababishwa Kipa
wa Atletico Dani Aranzubia alietolewa kwa Kadi Nyekundu.
Hii Leo, Barcelona wako Ugenini kucheza na Sevilla na ushindi kwao utawapeleka kileleni.
+++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Real Madrid CF |
23 |
18 |
3 |
2 |
65 |
24 |
41 |
57 |
2 |
Atletico de Madrid |
23 |
18 |
3 |
2 |
56 |
16 |
40 |
57 |
3 |
FC Barcelona |
22 |
17 |
3 |
2 |
59 |
16 |
43 |
54 |
4 |
Athletic de Bilbao |
22 |
13 |
4 |
5 |
42 |
28 |
14 |
43 |
+++++++++++++++++++++++++++++++