mkuu wa mkoa wa jiji la Dar Meck Sadiq amtembelea mkuu wa mkoa wa Morogoro kufuatia mafuriko yaliyotokea
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa
mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq. Nyuma katika picha ni
sem trela tano zilizokuwa zimepakia vifaa na vyakula.
Mkuu
wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa
wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan
Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy
kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la
Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila
makazi.
Mkurugenzi
wa Home Shopping Centre Gharib Said Mohammed (GSM) kushoto akitembea na Mku wa
Mkoa wa Dar es Salaam Said Meki Sadiq katika daraja lilosababisha watu wa
kutoka Dar kwenda Dodoma kusimama kwa muda.
Wathilika wa mafuriko wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq
Mkuu
wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa
wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya
Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina
ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki
iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja
na kuwaacha mamia bila makazi