Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima asisitiza umuhim wa mashine za EFD kwa wafanyabiashara nchini.
.
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (kushoto) akizungumza na Mkuu wa mkoa
wa Mara John Tuppa (kulia) mara baada ya kuwasili katika ofisi za makao
makuu ya mkoa wa Mara.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akiongea na wa wafanyabiashara wa mkoa wa
Mara juu ya umuhimu wa utumiaji wa mashine za kodi za kielektroniki
(EFDs) kwa wafanyabiashara hao kukusanya kodi ya ongezeko la thamani
(VAT) ili Serikali iweze kutoa mahitaji ya kijamii na uchumi kwa wakati
Kamishna
wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Patrick Kasera
akifafanua kwa wafanyabiashara wa mkoani Mara juu ya mashine za EFDs na
kusema kuwa mashine hizo kazi yake kuu ni kutunza kumbukumbu za biashara
hasa manunuzi na uuzaji na sio mfumo wa kodi kama ilivyopokelewa
mwanzoni na wafanyabiashara nchini.
Baadhi ya wafanyabiashara wa mkoa wa Mara wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima (hayupo pichani) alipokuwa alipozungumza na
wafanyabiashara hao jana mjini Musoma katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa
mkoa huo.
Baadhi ya wafanyabiashara wa mkoa wa Mara wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima (hayupo pichani) alipokuwa alipozungumza na
wafanyabiashara hao jana mjini Musoma katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa
mkoa huo.
Baadhi
ya wafanyabiashara wa mkoa wa Mara wakimsikiliza Naibu Waziri wa Fedha
Adam Malima (hayupo pichani) alipokuwa alipozungumza na wafanyabiashara
hao jana mjini Musoma katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa huo.