" Kufungwa tumefungwa, lakini msosi wa Dar es Salaam mtamu...!"
Mtazamo wangu; Yanga wamecheza vizuri. Wamewalazimisha Al Ahly kwao kufanya mawili magumu; kuzuia wasifungwe na lazima wafunge. Yanga hawatakiwi kabisa kujihami. Wacheze kama vile wao ndio wenye kuhitaji goli moja. Ni ushauri tu bila kujali kuwa anayeutoa ni Simba damu...
Maggid,
Dar.(P.T)