Header Ads

Yanga yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri


 Kikosi cha Yanga 

 Kikosi cha Al Ahly

 Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo huo.
Mpira umemalizika, Young Africans Sports Club 1 - 0 Al Ahly goli hilo limefungwa na Nadir Haroub "Cannavaro" dkk 82
Powered by Blogger.