KATIBU BODI YA FILAMU AKUTANA NA WADAU
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu Nchini.Kualia ni Evance Stephen Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Production Ltd na Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na tasnia ya Filamu Nchini.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana akimueleza jambo Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo, wakati walipotembelea ofisi za bodi hiyo kuzungumza juu ya mambo yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu.