UEFA CHAMPION LEAGUE FAINALI NI REAL MADRID VS ATLETICO MADRID
Hata useme vipi lakini ukweli ni kwamba Atletico Madrid
wamelichakaza basi la Chelsea na kufanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.Wakiwa ugenini Stamford Bridge, Atletico wameshinda kwamabao 3-1 na wanakwenda Lisbon Ureno ambako watavaana na watani wao wa jadiReal Madrid.Chelsea ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao katika mechihiyo ya pili ya nusu fainali baada ya sare ya suluhu mjini Madrid. Mfungajiakiwa Fernando Torres.Lakini dakika moja kabla ya kwenda mapumziko Atleticowakasawazisha kupitia Adrian walipoanza kupindi cha pili, Diego Costa akafunga baola pili kwa penalty baada ya kuangushwa na Samuel Eto’o.Wakati Chelsea wakipambana kusawazisha, Arda alifunga bao latatu lililokuwa linafanana na lile la kwanza ikionekana ni mfumo maalum kwaajili ya kuibomoa Chelsea inayosifika kwa kupaki basiKutokana na ushindi huo, maana yake fainali hiyoitazikutanisha timu za mji wa Madrid, zote zikiwa na jina la Madrid na zinaupinzani mkubwa kisoka, hivyo unaweza kuiita fainali ya kina Madrid.
Chelsea: Schwarzer, Ivanovic, Cole (Eto'o 54), Luiz, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Torres (Ba 67), Willian (Schurrle 77), HazardSubs not used: Oscar, Van Ginkel, Kalas, HilarioGoal: Torres 36Booked: CahillAtletico Madrid: Courtois, Juanfran, Luis, Tiago, Miranda, Godin, Turan (Rodriguez 84), Suarez, Adrian (Raul Garcia 66), Costa (Sosa 76), KokeSubs not used: Aranzubia. Villa, Alderweireld, DiegoGoals: Adrian 44, Diego Costa 60, Turan 72Booked: Adrian, Diego CostaReferee: Nicola Rizzoli