CHUNGA SANA NAMBA HIZI ZASIMU ZINAZOTUMIWA NA MATAPELI JIJINI DAR NA MIKOA MINGINE..! Huyu hujifanya yupo Rufiji fundi mkuu Huyu hujifanya meneja wa mladiHuyu anajifanya Afsa Suma JKTWanambinu nyingi za kumuingiza mjini mtu na tayari wameshawaibia wananchi wengi sana hujifanya wapohii zinasema kuwa Jeshi la Polisi Kinondoni limeanza msako wachini kwa chini kuanzi tarehe ya leo 28/5/2014 ili kuwanasa watuhumiwa hawa kwani wamekuwa kero kubwa kwa wananchi