MAUAJI YA KUTISHA ... KIKONGWE AUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA, MWALI WAKE AHUSISHWA... SAMAHANI KWA PICHA HIZI
Jinsi Bi Rebeka alivyopigwa shoka kichwani hadi ubongo kutoka nje |
Muonekano wa Mwili wa Marehemu kwa nje |
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa mwanae mkubwa Stanley Sengasenga katika mtaa huo alifika kwa Bundala muda huo baada ya kuitwa na Magreth Richard ambaye ni mke wa Bundala kwa ajili ya shughuli hiyo.
|