VURUGU ZA WAMACHINGA MWANZA MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA ZAIDI YA SAA 3, BIASHARA ZAFUNGWA KABISA.
Jeshi la polisi katika doria mtaa kwa mtaa.PICHA KWA Normal
HISANI GSENGO |
Hapakukalika. |
Hakuna biashara kila mtaa uligeuka kuwa mchungu. |
Askari zimamoto washiriki zoezi la kuzima moto uliowashwa na wamachinga na kuhatarisha usalama wa msikiti wa Hindu wanaosali masinga singa. |