AJALI YA DALADALA TABATA MATUMBI
Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili
T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es
Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 3 mwaka huu.
Mashuhuda
wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali
hiyo wakati lorio hilo likivuka barabara na kuligonga katikati.