LOWASSA AANIKA UTAJIRI WAKE, TUNAJIFUNZA NINI?
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Spika Anne Makinda katika picha ya pamoja iliyopigwa hivikaribuni |
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana
ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika
Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
“Ikaonekana ni jengo langu, kule Mbezikuna rafiki yangu mmoja walienda watu wakasema hii nyumba ya Lowassa. Yulebwana alitoka na bastola akawakimbiza. Mimi sina nyumba maeneo hayo,” alisemaLowassa.